tangazo

Friday, March 18, 2011

IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA

IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA

UTANGULIZI

Idara ya utumishi na utawala  ni idara inayohusika moja kwa moja na usimamizi wa rasiliamli watu na kuhakikisha idara nyingine zinapangiwa watumishi kulingana  na

IDARA YA AFYA - KAGERA - BUKOBA

Kumb. Na. BMC/M.10/6/                                   26/1/2011

Mkurugenzi wa Manispaa
S. L. P. 284
BUKOBA

IDARA YA AFYA

Idara ya Afya, katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba inashughuli na utoaji wa huduma za tiba na kinga katika vituo 16 za kutolea huduma za Afya.


AINA YA KITUO
MMILIKI



Serikali
Mashirika ya Dini
Mashirika ya Umma
Binafsi
Jumla
1
Hospitali
1
0
0
0
1
2
Vituo vya Afya
2
0
0
1
3
3
Zahanati
8
1
1
2
12


Shughuli zinazofanyika

1.    Uagizaji na usambazaji wa madawa muhimu na

Thursday, March 17, 2011

KUSHUKA KWA ELIMU KATIKA MKOA WA KAGERA

01: UTANGULIZI: Mkoa wa Kagera upo Magharibi mwa nchi yetu ya Tanzania. Unazo wilaya saba ambazo b Bukoba, Biharamulo, Chato, Karagwe, Missenyi, Muleba na Ngara. Makabila yaliyopo katika mkoa huu ni Wahaya, wanyambo, wahangaza, Wasubi na wasukuma. Mazao ya chakula ni ndizi, mihogo, viazi vitamu, viazi vikuu, maharage na njugu mawe. Mazao ya biashara ni pamoja na

SEKTA YA USAFIRISHAJI

1. UTANGULIZI
Sekta ya usafirishaji ni sekta inayohusika na masuala yote yanayohusu usafiri na usafirishaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.

2. KAZI ZINAZOFANYIKA KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI.
1. Kusimamia na Kuratibu masuala  yote yanayohusu usafiri na usafirishaji.

UFANISI NA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA MAENDELEO YA JAMII

HALI YA UTENDAJI KAZI
Watendaji wapo wanne, miongononi mwao mmoja ni mkuu wa idara na mwingine ni mratibu wa TASAF. SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA IDARA
UTOAJI WA MIKOPO
Jumla ya vikundi 12 vya wanawake na kimoja cha vijana vimepata mkopo kwa

TAARIFA YA MAENDELEO YA IDARA YA KILIMO MANISPAA YA BUKOBA

Halmashauri ya Manispaa ina Kata 14, kati ya hizo Kata 6 ni za mjini kati ya hizo ni Bakoba, Hamugembe, Kashai, Bilele, Miembeni na Rwamishenye zenye mitaa 31 na Kata 8 ni za ukanda wa

Mchango wa KKKT Dayosisi ya Karagwe katika maendeleo ya jamii.

Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Mh.  Dr. Benson Bagonza akiwa na wageni walioitembelea dayosisi toka Sweden mapema mwaka 2011 (Picha na Mchg.Oscar Samwel).
Dayosisi ya Karagwe ni miongoni mwa dayosisi ishirini zinazounda Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Dayosisi ya Karagwe ilizinduliwa